🚨 CZECH APOKEA KIPIGO CHA GOLI 4_0.
Kijana Dalot moja Kati ya full back ambao hawasemwi Ila sio wa mchezo na anazidi kuonesha kwanini Ten Hug anapenda sana kumtumia.
Anaweka magoli mawili peke yake huku Bruno Fernandez akipachika goli moja na Jota akiweka goli dakika za mwisho.
#sportsleo
Kwenu studio 🎤
Comments
Post a Comment