PEREDES ATUA JUVENTUS
🚨PEREDES ATUA JUVENTUS Juventus wamefikia makubaliano na PSG juu ya kumchukua kiungo hatari Leandro Paredes. Peredes amekuwa akivutiwa Sana kucheza Juventus na ilikuwa Ni ndoto yake. #juventusofficial chanzo (Fabrizio Romano)
Taarifa zote za michezo,kutoka kila Kona ya Dunia.